




TSh 15,000,000 Outright Price
Kiwangwa

Minja real estate & Car Broker
Verified documentsMinja real estate & Car Broker inakuletea:- Shamba linauzwa Fukayose. Shamba Lina heka 3 kama Sqm 1200. MITA 500 tu kutoka barabara kubwa ya lami. Shamba Lina chumba na choo Cha mlinzi. Eneo zuri kwa kulima na ufugaji na Lina bwawa la msimu wa mvua. Bei . Tupigie au whatsApp muda wowote ukilihitaji na kama una Shamba, nyumba, kiwanja unauzwa tucheki tukusaidie kupata wateja. MAWASILIANO . MUNGU BARIKI KAZI ZA MIKONO YETU.
TSh 15,000,000 Outright Price
Safety tips
Similar properties