




TSh 50,000,000
Dar es Salaam , Ilala , Pugu , 7 days ago
Kinyamwezi

Haven Real Estate
Verified documentsApartment 4 Zinauzwa Kwa Bei yakutupwa TSH. 50 Milioni. Location Pugu Kinyamwezi Dar es salaam. Apartment Zimejengwa Kwa mfumo wa Chumba Master Sitting room na kibaraza chake. Apartment Zote zina wapangaji. Kodi Kwa Apartment Moja kwamwezi ni 100,000 Kila Apartment Inajitegemea Umeme na Maji safi. Pia Eneo limebaki lakujenga Nyumba nyingine na fensi. Umbali kutoka Main road Hadi Kwenye Nyumba ni dakika 7 Kwa Miguu. iss
TSh 50,000,000
Safety tips
Similar properties