




TSh 32,000,000 Outright Price
Mwanza , Misungwi , Usagara / Misungwi , 3 months ago
Usagara

Nasib Isack
Verified documentsKiwanja cha pili kutoka barabara ya lami kinapatikana Mwanza Usagara round about, kiko barabara kubwa ya mtaa, kimezungushiwa msingi wa fens na kina matofar takriban 2000 imeisha vutiwa bomba la maji, imepimwa na kina ofa kinauzwa
TSh 32,000,000 Outright Price
Safety tips
Similar properties