




TSh 600,000,000
Dar es Salaam , Kinondoni , Magomeni , 2 days ago
Uzunguni

Haven Real Estate
Verified documentsNyumba ya ghorofa moja inauzwa magomen uzunguni, mtaa wa minaki kwa asha baraka minaki ni mtaa wa jirani na ofice ya mkuu wa wilaya au magomeni municipal ipo jiran na vituo vya mwendo kasi ya kuelekea kino na ya usalama kwenda mjini ni mitaa ya nyuma ya magomen tanesco pia. mitaa mizuri sana zaman walikua wanaishi viongozi wa serikali wakubwa. chini ina vyumba 2 na siting room na daining jiko store na buf. juu kuna sebule nyingine na master bed room kubwa na balcon ya kupumzikia. parking ya kutosha. ina title deed mmiliki mmoja sqm 360. bei ameanzia ml 600 top top anataka 550 analipa agent tu. imm
TSh 600,000,000
Safety tips
Similar properties