tre.gif
3bdrm House in Kimara Temboni, Kinondoni for sale in Kinondoni

TSh 55,000,000

Dar es Salaam , Kinondoni , 2 years ago

House

3 bedrooms

2 bathrooms

Parking Space

3bdrm House in Kimara Temboni, Kinondoni for sale

Property address

Kimara temboni

Prince Realtor

Verified documents

Kimara temboni

Fairly Used

Toilets: 1

Unfurnished

Number of Cars: 2

380 sqm

Agent Fee: 50000

Nyumba nzuri kubwa ya familia inauzwa na ipo sehemu nzuri sana nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa #jiko kubwa #maji dawasa yapo ya kutosha #parking #ipo ndani ya fensi bei ni 55,000,000/= inauzwa milioni 55 maongezi yapo ukubwa wa eneo ni 20/18 meters documents:- hati safi ya mauziano halali kutoka serikali ya mtaa nyumba hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 usafiri ni bajaji au bodaboda na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 2 upo kwenye nyumba njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba

TSh 55,000,000

House

3 bedrooms

2 bathrooms

Parking Space

Safety tips

  • Avoid paying inspection fees
  • If possible, go for viewing with friends
  • Check everything carefully to make sure it's what you need
  • Don't pay in advance if it's impossible to move in immediately

Similar properties