




TSh 125,000,000
Mwanza Busweru

Nasib Isack
Verified documentsApartment tano ndan ya kiwanja kimoja zinapatikana Mwanza Busweru, apartment mbili zina vyumba viwili vya kulala kimoja master, choo cha public, jiko kubwa sana kama chumba, a permanent tatu zina chumba kimoja cha kulala Master, sebure kubwa jiko kubwa unaweza igeuza kuwa chumba zote zinauzwa
TSh 125,000,000
Safety tips
Similar properties