




TSh 200,000 per month
Dar es Salaam , Ilala , 25 days ago
Kimara korogwe
KILAKITUKIPO.COM
Verified documentsNew new apartment mpya kabisa hazina zambi kuingia tarehe 25/09/2026 #master bedroom na jiko #chumba kimoja master na jiko #luku yako #maji ndani #bei ni 200,000 kwa mwezi mmoja malipo miezi sita #sebule wastani #chumba cha kulala #jiko kubwa #choo cha ndani #luku yako #maji dawasa ndani #tailzy gipsam aluminium sliding window paving block zinawekwa nyumba zipo ndani ya fensi parking ipo #bei ni 300,000 kwa mwezi mmoja malipo miezi sita pamoja na mwezi mmoja wa dalali #location kimara korogwe dk 12 kwa miguu kutoka mwendokasi njia ya zege usafiri bajaji/500/boda 1000 ukishuka tu dk2 upo getini #note kuja kuona nyumba ni shilingi elfu 20 ya kitanzania
TSh 200,000 per month
Safety tips
Similar properties