

TSh 9,180,000 per Plot
Kiluvya

Kakunda Real Estate
Verified documentsMradi wa viwanja kiluvya Manzese ! Bei ni `1, utapata kiwanja kuanzia SQM 306 ! Umbali ni 2.5 kilometa kutoka morogoro road (kikuvya madukani) ! Malipo unaweza ukalipa Cash au ukalipa kwa Awamu ( instalment) ! Malipo ya awamu utaanza kulipa asilimia 50 ambayo ni nusu ya bei ya kiwanja na nusu inayobaki utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 6 bila Riba na bila kupangiwa mfumo wa malipo. ! Mradi huu kwa kulipa kwa awamu utaanza kulipa million `ndio nusu ya bei, na million `dio utalipa kidogo kidogo boss wangu. ! Tupigie simu kwa huduma ya haraka twende ukatembelee mradi huu mzuli. ! Kutembelea miradi yetu ni kila siku kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni, kwa garama nafuu ya Tsh `kwa mtu mmoja. ! PIA TUNAMIRADI MIZURI KIBAHA KUANZIA BEI YA MILLION 2.5 NA KUENDELEA.
TSh 9,180,000 per Plot
Safety tips
Similar properties