Nyumba nzuri sana inauzwa goba centre (dar es salam)
mawasiliano-
ina vyumba vitatu vyote self contained,dinning,sitting,store,kitchen&public toilet
pia nyumba zima ina makabati mazuri ya kisasa sana
umiliki: hati miliki (title deed)
ukubwa wa eneo: sqm 900
umbali: meter 500 kutoka barabara kuu ya lami
nyumba iko mtaa mzuri umejengeka vizuri
maji ya dawasco na umeme vyote vipo
bei : 250 million (maongezi yapo)
gharama za kwenda site ni tshs 30,000/=