




TSh 400,000 per month
Dar es Salaam , Ilala , 25 days ago
Kimara korogwe
KILAKITUKIPO.COM
Verified documentsHizi apartment zinapangishwa kati ka hizo moja ya juu inakuwa wazi tarehe 01/10/2026 kuona malipo ruksa #sebule wastani sio kubwa #vyumba 2 vya kulala #chumba kimoja master #jiko opern kitchen makabati #pubric toilet #tiles,gypsum,aluminium sliding window paving block nyumba zipo ndani ya fensi parking kubwa sana #ac sebleni #mafeni kila chumba #luku inajitegemea #maji dawasa ndani #location kimara korogwe dk 3 tu kutoka mwendokasi njia rafiki kwa gari zote za chini #bei ni 400,000 kwa mwezi mmoja malipo miezi sita pamoja na mwezi mmoja wa kulinda uharibifu wa nyumba #note kuja kuona nyumba ni shilingi elfu 20 ya kitanzania mpaka upate nyumba
TSh 400,000 per month
Safety tips
Similar properties